I must be aging - I am listening to very old songs from my childhood.
In this song the subject recalls caution given to him by his parents about the people of the world (Walimwengu) and now in his prime finds that what they told him was true(the world holds for him the unexpected - dunia ina mambo)
Of course I had to transcribe the lyrics - so if you find any mistakes please correct me
Cavalier Band –
Dunia
Baba na mama waliniudhia ewe kijana,
kuwa mwana kujionea dunia ina mambo
Nao siku yasikiza sasa mimi najuta,
kweli najionea dunia
ina mambo
Walinaambia kijana jihadhari na walimwengu
Hao walimwengu si wazuri kwako kijana
Nao siku ya sikiza, hata mimi najuta
Kweli najionea dunia ina mambo
interlude
repeat verse one and two (look for rap/spoken interlude)
oooh
Dunia ina mambo oooh, dunia ina mambo
Dunia ina mambo oooh, dunia ina mambo
Ukiwa na cha leo marafiki ni wengi sana
Watakusifu oh, wewe kijana mzuri
Dunia ina mambo oooh, dunia ina mambo
Dunia ina mambo oooh, dunia ina mambo
Ukiwa huna oh, wengi wanakukimbia
Na wengi kusema wewe kijana mbaya
Dunia ina mambo oooh, dunia ina mambo
Dunia ina mambo oooh, dunia ina mambo
Interlude